JamiiForums Usiku wa manane
Nilikumiss mno best,ndo maana nakwambia toroka uje hapa chako n' chako, utapona kabisa
Hahaha ujue nilivyofungua Uzi nikakuona nilipona kabisa, sema baada ya kuona kuna mtu unamwona kwenye glass nikarudi kule kule
Ila saivi angalau umenifariji kwa kuniota mchana (sijawahi kuona ndoto ya kweli mchana)
 
Back
Top Bottom