POpoooooooooooooooooooZ!! KWEMA HUMU JAMANI,KWA KWELI SIPO HUMU KITAMBO SANA....ILA TUPO PAMOJA SANA. MISS U ALL NASHUKURU HUMU ULINZI UMEIMARIKA MARA DUFU HASA HUKO KWENYE MIPAKA YETU,UTAFITI UMEONESHA KUWA MPAKA SASA HAKUNA MWANA J.F MWENYE CORONA HII INAHITAJI KUJIPONGEZA MAANA SISI NDIO WALINZI WA HILI JUKWAA.....J.f usiku wa manane Viva Forever!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.