Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Tena ana wenge kinoma. Mpe kile kitabu cha dos and don'tsMwana hapo kaja na new techniques inabidi hiyo itolewe mafunzo eti katibu unasemaje kuhusu hilo![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena ana wenge kinoma. Mpe kile kitabu cha dos and don'tsMwana hapo kaja na new techniques inabidi hiyo itolewe mafunzo eti katibu unasemaje kuhusu hilo![]()
Sijasema mm Mgeni bana ugeni wangu Kwenye chaputa tu na avatar Huwa sizielewi Maana unakuta mtu anaitwa cocastic alafu ni men
Anachamba Huyo balaa yaaane
Mwingine Sijui Nanani Nani alafu men avatar girl name the some
Sent using Jamii Forums mobile app






yuko wapi huyo juma lokole.


atapita nacho hata kesho.
yuko wapi huyo juma lokole.
Duh! Maombi mazuri ni kukemea huku mnashirikiana, count me inVp nijoto limekuamsha? Sema kama vp tupige maombi mvua inyeshe.



huyu ni chronicle kabisa.Hommie long time no see you.Umofia kwenu!!
Balozi wa kiepe yai kwenye ubora wako.
Juma lokole umemuacha wapi Chibudee
Juma lokole umemuacha wapi Chibudee
Hii new techniques inabidi iingishwe sokoni inawezekana ikaleta wanachama wengi zaidi.
Kukemea kupokeza mzee. Kwani kuna ubaya.Balozi wa kiepe yai kwenye ubora wako.
Hata si joto.. kausingizi tu kamekataVp nijoto limekuamsha? Sema kama vp tupige maombi mvua inyeshe.