Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,156
- 55,656
Njooni lindoni...
Tupo mzee baba!Maaskari wa lindo wote chakari.....walitumika sana jana,ndio maana lindo halina wenyewe
Utaniona kweli?
Jana na leo!!Ukaguzi wa lindo. Ulisikia jina lako sema Present
God save us
Salama tu mkuu,tunashukuru kuiona siku nyingine tukiwa haiZa wewe?
hakuna kulala mpaka kieleweke mkuuTupo mzee baba!
kwa nini mkuuWalinzi wa leo nina wasiwasi nanyi.....
Msipotee tu kimya kimya
Rowin nakuona
AminaSalama tu mkuu,tunashukuru kuiona siku nyingine tukiwa hai
Tunaonekana tunapatikana mwisho wa wiki tu...kwa nini mkuu
Hahahaha....!! Usipatwe kigugumizi mamii, nimeshakaribia kwa miguu yote miwiliNilitaka kusema neno...nikapatwa na kigugumizi.
Karibu Dokta.
sawa mkuu kapumzike mi nakamata lindo kwa niaba yako usichelewe kanisani keshoAcha kunisingizia.
ha ha ha ha ajira ajira hizi ndio shidaTunaonekana tunapatikana mwisho wa wiki tu...
Wanasayansi wanasema,unavyolala muda mrefu...mwili unakuwa unaoza ndani;kuthibitisha hilo,uamkapo asubuhi jaribu kufungua kinywa. Suluhisho ni hakuna kulala
Niombee mkuuNimechungulia....narudi kulala...niwahi kanisani Asubuhi