Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Ushatia maguu mlinzi mkuu, karibu lindoni
Nimechungulia....narudi kulala...niwahi kanisani AsubuhiUshatia maguu mlinzi mkuu, karibu lindoni
Nimechungulia....narudi kulala...niwahi kanisani Asubuhi
Acha kunisingizia.Uwepo wako hapa lindoni ni muhimu sana mkuu, ukizingatia cheo nilichokusimika, vuta subira
Za wewe?Maaskari wa lindo wote chakari.....walitumika sana jana,ndio maana lindo halina wenyewe
Nimechungulia....narudi kulala...niwahi kanisani Asubuhi