safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 12,314
- 18,148
Hahah mkuu ukimpata nishtue na mimi nione kama ntapata wa pili.Karibu sana, mimi huku ndiko nipo natafuta mke wa tatu humu.
Isijekuwa tupo na kangi lugola humu mana sidhani kama atalala kwa stress
Sent using Jamii Forums mobile app