Yeah, mkate nimezoea tunaweka kwenye fridge pia.Mkate ambao hua mlaini sana ukishaufungua hauchukui siku2 unaweka ukungu
Ss kama unaishi mwenuewe na umenunua mkate mkubwa ni vyema ukae kwa fridge utamaliza hata week3 upo salama
Ukiutoa tu nje dk3 unakua umepoa
Ulisinzia wwnawazooom tuu.
Mara 2 toka saa6 ila walirudisha
Hahaha waache wayaweke kama wauza duka unakutana na maviza tuYeah, mkate nimezoea tunaweka kwenye fridge pia.
Mayai niliuliza bcoz kuna ambao wanashangaa ukiyaweka kwenye fridge
Hapana, kuna page nilikua nasoma.Ulisinzia ww
Kidogo ila yaanatosha mpaka jua linatoka hayaHakuna namna tujiwashie tochi zetu Tu, kwani mafuta yalibaki kwenye kibatari
Ahaaaa sawaHapana, kuna page nilikua nasoma.
Kwahiyo hii ndio mida yenyewe hiiAhaaaa sawa
Mida ndo hii nasubiri kajibuKwahiyo hii ndio mida yenyewe hii
😀😀😀haufai weweMida ndo hii nasubiri kajibu
Nijilie tunda kimasihara
Makusudi hii😀😀😀0206
Hapana ungeona nilivyohangaika ungenionea hurumaMakusudi hii![]()
Halafu imebadilika bwanaMakusudi hii![]()
Kwa matumizi yapi sshaufai wewe
Ya utani😀😀Kwa matumizi yapi ss