Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Kwako piaUsiku mwema wakuu
Ahsante.Kwako pia
Nalala ss hv maana wote mmeshaagaAhsante.
Ulale sasa na wewe.
👍👍Nalala ss hv maana wote mmeshaaga
Halijatoka lock nilitaka nivunje kioo lakini niko na msubiri fundi wa body za magari anakujaGari imetoka lock au
Alikuwa anatumia generator mkuuspeaker ya mdomo au mtaani kwenu si hakuna umeme jirani aongeze volume
si kwakudanganya huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole baby si unajua mimi ni mlinzi mpya. Usingizi ulinibeba bila kujua.Juhudi tunazifanyia wapi sasa wakati sikuoni tena jamani?
Pole baby si unajua mimi ni mlinzi mpya. Usingizi ulinibeba bila kujua.
Loh. Sikukusudia kabisa naomba msamaha baby booHiyo unaniibia live baby