Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Sijakuelewa...Huyu mzee kakufanyaje mbona ulipotea ghafla ujio wake?
Sijakuelewa...Huyu mzee kakufanyaje mbona ulipotea ghafla ujio wake?
Jana itakua sijapita kabisa ila nipo tuJana hata nyao zako sikuziona mkuu
Hiyo nayo point unakuwa na hela ila huishi kwa raha dunia hii bana
AbsolutelyAfya yako ndiyo kila kitu mkuu
Sawa mrudishe basiSikudhihaki bana...
Huyo Aspirin mkorofi mkorofi tu
Basi kama ni hivyo ntabaki na amaniHuyo Aspirin mkorofi mkorofi tu
Hem acha kumtisha binti akakosa usingizi
Hahahaa... acha woga weweee...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sitakiiiiiiii naogop nitaota buanaaa