Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Aaah ndio mida ishafika kumbe.Wakuu, usiku mwema.
Nimewaachia lindo pakiwa salama!!
Aaah ndio mida ishafika kumbe.Wakuu, usiku mwema.
Nimewaachia lindo pakiwa salama!!
Ulishawahi kwenda kwenye sherehe za uswailini?Sija ongeleshwa....
Poa hommie.
Ulishawahi kwenda kwenye sherehe za uswailini?
Usijari mkuu. kesho pia utalikuta Salama.Wakuu, usiku mwema.
Nimewaachia lindo pakiwa salama!!
jana na leo 😊
Uko powa mamii? Nakuona kama kawaida yako😉Hujaachaga uchokozi/utundu?
sherehe za uswailini unajua usipo changamka unaweza kosa wali unajua ndio kama humu vile usipo comment mtu hawezi jua kama upo online.Una maanisha zenye Waswahili? Ndio
Na kesho pia. Habari za hapo post yako mkuujana na leo 😊
Habari za lindo wakuu mbalimbali na kadhalika.
Detail yangu imekaribia at 03:00
Uko powa mamii? Nakuona kama kawaida yako![]()
kabisa usiku mnene huu barabara huko kukutana na vibwengo kawaida mida hii naitaga mida mibovu hii mm.Habari za lindo wakuu mbalimbali na kadhalika.
Detail yangu imekaribia at 03:00
sherehe za uswailini unajua usipo changamka unaweza kosa wali unajua ndio kama humu vile usipo comment mtu hawezi jua kama upo online.
Mida hii silaha yako inatakiwa tayari tayari maana waaribifu wote kiroho na kimwili ndio mida yao ya kujivinjari hii.kabisa usiku mnene huu barabara huko kukutana na vibwengo kawaida mida hii naitaga mida mibovu hii mm.
😆😆😆Aahhh...kumbe.
Wapo watakao niona na kuniletea sahani....
Aah ndio upo unakodolea hapo kumbe mm nilishapita nayo muda kidogo.Detail yangu inaanza ikisindikizwa na Angel has fallen 2019 Banning na Morgan wakiendelea na maamuzi tokea kwenye Olympus has fallen na London has fallen.