fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,688
- 24,006
Whenever I get into my post with a smile, all thanks to the fact that I remember that I will find you waiting for me to spend the left hours together. 😍😍😘Myis melting....
Whenever I get into my post with a smile, all thanks to the fact that I remember that I will find you waiting for me to spend the left hours together. 😍😍😘Myis melting....
Jaribu kutibu lakini mm nikishaonaga Trailer huko youtube na zile box office ndio navurugikiwa kabisa.Kwangu ni tatizo....nalifanyia kazi.
Hutaweza. You're addicted 😄😄Ni kweli....niko na ulevi wa movies na series.
Najaribu kuacha lakini.
A
Animations upendi?
Frozen 2...![]()
Maana naona anazungumzia hizo Ice Age zakitambo enzi za Shrek huko 😊😊Frozen 2...![]()
Whenever I get into my post with a smile, all thanks to the fact that I remember that I will find you waiting for me to spend the left hours together.![]()
Jaribu kutibu lakini mm nikishaonaga Trailer huko youtube na zile box office ndio navurugikiwa kabisa.
Kivipi my? MI nimetaja particularly niziangaliazo kutoka katika aina ya kundi la movie kwamba si mpenzi wa let's say crimes movies ndio nipende zote. NopeCrime, action, Romance, science fiction, drama, Documentary, mystery bila kusahau Comedy....
fyddell umeniangusha
Maana naona anazungumzia hizo Ice Age zakitambo enzi za Shrek huko![]()
Kivipi my? MI nimetaja particularly niziangaliazo kutoka katika aina ya kundi la movie kwamba si mpenzi wa let's say crimes movies ndio nipende zote. Nope
Kweli we sio shabiki wa hizi Animation.The Lion King...nilitazama kwa lazima 3D.
Am your night commander sweetheart....My knight in shining armor....
Kweli we sio shabiki wa hizi Animation.
Leo hukimbii hapa😂😂Aahhnnaaa!!!!!
Usingizi nisamehe
Mpaka Super Villain aache kuniongelesha (kazi kaachiwa na Kaka)Leo hukimbii hapa![]()
Amani iwe nanyi wapendwa!
Leo kani ninayo kweli 😆😆😆Nipo sanaMpaka Super Villain aache kuniongelesha (kazi kaachiwa na Kaka)
Hizi zote nishazidownload bado kuzicheki tu. Nawe HUSTLERS inakufaa sanaUisahau The Irishman, Ad Astra na 6 Underground.....![]()
Na kwako pia