Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Hahaha coca na berriesHahah ipo vizuri kwa kweli,wakat naangalia hii movie nilikuwa nipo dogo,bhasi ilipofika hiyo sehem coca,,dogo ataka parudiwe muda wote[emoji2][emoji2]
Hahaha coca na berriesHahah ipo vizuri kwa kweli,wakat naangalia hii movie nilikuwa nipo dogo,bhasi ilipofika hiyo sehem coca,,dogo ataka parudiwe muda wote[emoji2][emoji2]
Kuna zingine nmesahau hapo,kuna Eli,Doctor sleep,dark light pamoja ready or notEti wanapaa damn walinikera basi tu inabidi nicheke
Ukiachana na angel has fallen movie yangu kali ya mwaka ni ''anna'' japo inafanana na the villainersKuna zingine nmesahau hapo,kuna Eli,Doctor sleep,dark light pamoja ready or not
Hahaha ni nzuri kwa kweliHahaha coca na berries
Anna inabidi utulize kichwa otherwise unatoka kapa labda ufurahie zile action tu,,lakini ni movie nzuri sana..umezisahau Close,Polar,John Wick 3 na Miss BalaUkiachana na angel has fallen movie yangu kali ya mwaka ni ''anna'' japo inafanana na the villainers
anna hatar,.....zote nmeona mbaya labda john wick kidogo polar umefata s.e.x nn[emoji38][emoji38][emoji38]Anna inabidi utulize kichwa otherwise unatoka kapa labda ufurahie zile action tu,,lakini ni movie nzuri sana..umezisahau Close,Polar,John Wick 3 na Miss Bala
Kuna rambo last blood pia...kuhusu polar nilijua utaniuliza juu ya hili[emoji23][emoji23][emoji23]yule mzee balaa,ile scene ya s.e.x ilichukua muda mrefu hatar utadhan sio movie bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anna hatar,.....zote nmeona mbaya labda john wick kidogo polar umefata s.e.x nn[emoji38][emoji38][emoji38]
hahahaha director wa polar alaaniwe jamaaa anachakata kinoma yaniKuna rambo last blood pia...kuhusu polar nilijua utaniuliza juu ya hili[emoji23][emoji23][emoji23]yule mzee balaa,ile scene ya s.e.x ilichukua muda mrefu hatar utadhan sio movie bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahah aisee director ana mambo ya kijanga sana,hata wakat inaanza tu kuna jamaa alipigwa risas alikuwa beach hv wakat anakufa mnara upo 4g hahahhahahaha dire tor wa polar alaaniwe jamaaa anachakata kinoma yani
Rambo plot yakitt wamenikera sana
[emoji38][emoji38][emoji38]sema quality ya movie yake ni nzuri dmsanaHahahahah aisee director ana mambo ya kijanga sana,hata wakat inaanza tu kuna jamaa alipigwa risas alikuwa beach hv wakat anakufa mnara upo 4g hahah
Bdo kidogo ila ndo tunaelekwa
Hahaha[emoji38][emoji38][emoji38]sema quality ya movie yake ni nzuri dmsana
Ngoja ni meditate kidogo baadae iliusibaki pekeako nenda kwenye ule uzi kule[emoji6][emoji6]Hahaha
Ok sawa,utanikuta kuleNgoja ni meditate kidogo baadae iliusibaki pekeako nenda kwenye ule uzi kule[emoji6][emoji6]
OkyOk sawa,utanikuta kule