Yaonekana una mengi yakutusimulia lindoni kuhusiana na hizo OPSOperation Ben sanane na Azory gwanda
Wengine hatukaribishwi mamii?Ok sawa,utanikuta kule
Ngoja tukeshe pamoja!!Bado? Nina mzuka wa kukesha
Ngoja tukeshe pamoja!!
Loneliness ni mbaya sana, isikie tu! Leo sina hata pesa ya bangi, konyagi, alkasus, sina hata mrembo! Yuko usukumani huko! Naumwa kichwa balaaNaona leo mapemaaa
Sent using my 6x6 bed.
Nahitaji kampaniNgoja tukeshe pamoja!!
Kabisa mkuu mambo ya wkendNaona leo mapemaaa
Sent using my 6x6 bed.
Mlinzi leo umewahi lindo sana...Nahitaji kampani
Nahitaji kampani
Umetupia bia ngapiKabisa mkuu mambo ya wkend
Nimewahi nina mzuka wa kukeshaMlinzi leo umewahi lindo sana...
Hapa kakaKampani ya kwenda wapi?
Tano mpaka sasaUmetupia bia ngapi