Tunasali kwa muda gani...?Nani yupo macho tusali
Muda huu mkuu mkesha wa maombiTunasali kwa muda gani...?
Nafungua lindo.
Naona wadau wanasinzia si kwa ukimya huu...
Aiseee
Nipo hapa nachochea viiveView attachment 1207768
Hv nawanga mwenyewe ndani mjengo ama?