JamiiForums Usiku wa manane
Yaani hadi leo sijakua, utoto upo mule mule sijabadilika kitu i guess ndivo nilivyo hadi mie najishangaa.

Hajambo kabisa nashukuru aisee.
Hahahaha ,huo sio utoto sasa ,au ndio kudeka? Ila vzr unastahili kudeka

Msalimie sana
 
Back
Top Bottom