Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,382
- 95,778
Hahahaha, mie nishakuzoeaKwa kweli itabidi tu mzoee.
Hahahaha, mie nishakuzoeaKwa kweli itabidi tu mzoee.
On duty ...
Popoo
Hahahaha, mie nishakuzoea
Unasema ?Nafunga lindo
NdioUnasema ?
@don clericuzio Old school mwenzio huyo angalia Depal asichomoe battery.
[emoji3][emoji4][emoji6]Yes, this makes up my morning.
I missed you.
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji1657][emoji1657][emoji1657][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Mabundi tunakucheki popo ukipita kwa speed ya Jet.
Mate unafanya nini huku gizani?8:03 kwa Tanzania
Wenzetu saa ngapi?
07:098:03 kwa Tanzania
Wenzetu saa ngapi?
Nilikua nakagua silaha za lindo Kama zilirudi zote..tukutane usiku wa manane mateMate unafanya nini huku gizani?