Hapo diplomatic language inatakiwa, they are always not patient.

Angekuwa mwanaume ungemwambia imeshindikana, hivyo akupe njia nyingine ya kumtumia.

NB: Wapigie huduma kwa wateja (customer care) watakupa ushauri nini cha kufanya.
Haha ndo maana we unibamba always wise,true madem wanapenda ku catch sana hata bila reason hata ajibu my messages wats app,bbade mbna nyi hu catch feels ivyo easily?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom