Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,936
- 40,518
Walinzi waandamizi amani iwe kwenu.
🙏🏿🙏🏿Walinzi waandamizi amani iwe kwenu.
Na kwako pia nduguWalinzi waandamizi amani iwe kwenu.
mbona mapema sana......Kumekucha.. Au sio
Geti linafunguliwa saa ngapimbona mapema sana......
saa sita,,,Geti linafunguliwa saa ngapi
MdauWadau
Ndio muda wenyewe huu bossmbona mapema sana......
Mwenye kujua hapo si mtu wa vodacom, ila wa safaricomNiajeni wasee nani hapa anaeza juwa jinsi ya kutumia mtu pesa kutoka safaricom kenya mpaka vodacom tz juu kuna mtu najaribu kumtumia inakataa na nimefuata steps zote,sijui ka kuna mtu hapa ashaitumiwa anisaidie
Nasoma kwa internet procedures zote na kuzifuata buh naambiwa sina sufficient fund kila saa na nina pesa,hadi mwenye nafaa kumtumia anaona nikaa namdanganya sitaki kumtumiaMwenye kujua hapo si mtu wa vodacom, ila wa safaricom
leo walinzi wamerocha...........Ndio muda wenyewe huu boss
Nasoma kwa internet procedures zote na kuzifuata buh naambiwa sina sufficient fund kila saa na nina pesa,hadi mwenye nafaa kumtumia anaona nikaa namdanganya sitaki kumtumia
hiki ni kiswahili ?leo walinzi wamerocha...........
Jumatatu huwa ni siku ngumu sana ktk lindoleo walinzi wamerocha...........
hahaha kiswahili cha chuga hicho,,,,hiki ni kiswahili ?
umemaanisha?
tehteh,,,tupo jumanne tayari..........Jumatatu huwa ni siku ngumu sana ktk lindo
duu sema kweli mawingu hayatehteh,,,tupo jumanne tayari..........