Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Mmmh though watu wako silent mbaya
Mmmh though watu wako silent mbaya
Muda wa kulinda ndoa huu,sio muda wa kulinda watu,kalaleni.
Leo hadi wewe bishoo umekuja lindoniMuda wa kulinda ndoa huu,sio muda wa kulinda watu,kalaleni.
No need,siunajua dem ni gharama lazima umpeleke salon ,umake sure una mtreat during special occasions kama valentines etc,na pia kusema ukweli siku hizi wanawake wanapenda pesa sana,hakuna mapenzi ka ya old days,siku hizi mapenzi ni pesa haha ukiwa na pesa utasifiwa kitambi honey i love youIvi kama una hela kuna haja ya kuoa..
However you may not start conversation with the following recipient;Tairus

lindo bila kahawa,maji ya gold ni ngumu kuwa na ufanisi;uko na nini hapo?Leo hadi wewe bishoo umekuja lindoni
Sawa nimekushikia lockerNaweka nafasi kwanza,kisha narudi.
Muda wa kulinda ndoa huu,sio muda wa kulinda watu,kalaleni.

hivi kumbe siku hizi kuna ndoa
wakatembee na mabank basi ijulikane mojaNo need,siunajua dem ni gharama lazima umpeleke salon ,umake sure una mtreat during special occasions kama valentines etc,na pia kusema ukweli siku hizi wanawake wanapenda pesa sana,hakuna mapenzi ka ya old days,siku hizi mapenzi ni pesa haha ukiwa na pesa utasifiwa kitambi honey i love you![]()
![]()
hapo sasa lindo litaenda vyema naona kuna dawa za m'mbu za kutoshaHili lindo la leo sijui km nitalimaliza salamaView attachment 1054103
we uko kwenye lindo,jirani anazama ndani
ni michezo mizuri sana kupeana zam ila siku nikighailishia lindo njiani natoa mtu utambiwe uko kwenye lindo,jirani anazama ndani
Haha siku hizi ni rahisi kupata mke ukiwa na pesa hata kuliko ukiwa na sura
Nusu bei ya Taifa stazii bado inaendelea..Hili lindo la leo sijui km nitalimaliza salamaView attachment 1054103