Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,283
- 55,899
hapa ni kupambana tu na lindo,ingawa sina sare.
Ametelekeza lindoNiaje? ??
Ameenda kuaga homeAmetelekeza lindo
Sawa son of a Pagan, are you pagan too?@Khantwe naona nijibu "hello"
Nalinda mchanaUpooo! hulindi ndoa wewe?
ha ha ha haAmeenda kuaga home
ha ha ha haNalinda mchana
Zurri ukuje huku
Wasalimie
Hawa nilio nao huku,hawahitaji salamu ya yoyote awaye.
Sawa, narudisha silaha.
Nikabidhi mimi silaha zako.
Hapa ndio nimetia nanga sasa.
Naondoka nazo...wewe sikuamini.
Nikabidhi mimiNaondoka nazo...wewe sikuamini.
Afadhali nikupe wewe...Nikabidhi mimi
Poa msalimie kaka nanihiiAfadhali nikupe wewe...
Lindo jema.