ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,465
- 67,476
Really babe?[emoji7][emoji7] Kichwa kilivyovimba ngoja ninywe maji nije kuwaita kina naniliuuAkhaa jamani babe ujue wewe ndio main stay babe wengine wanakuja after you so wewe ndio uko boss lady
Really babe?[emoji7][emoji7] Kichwa kilivyovimba ngoja ninywe maji nije kuwaita kina naniliuuAkhaa jamani babe ujue wewe ndio main stay babe wengine wanakuja after you so wewe ndio uko boss lady
I know, I know my WiiNajitahidi wifi ila ndugu yako kazidi[emoji31]
[emoji3][emoji3][emoji3]usilale chunga mzigo wako mwenyew anakesha huku anataka kubebishana[emoji24][emoji24]babe ndo ashaenda
Naona mnabebishana tu huku[emoji24][emoji174]
Aseee bora nikalale nisije kufa humu kwa presha[emoji26]Akhaa jamani babe ujue wewe ndio main stay babe wengine wanakuja after you so wewe ndio uko boss lady
Nakupendaga hapa tu babe vile unanieleawaga hata sinaga namna nita prove upendo wangu kwakoReally babe?[emoji7][emoji7] Kichwa kilivyovimba ngoja ninywe maji nije kuwaita kina naniliuu
hahahah thats dope,uuuwi,hahah enyewe si humskia tu,hahahunamjua Mr Miller au unamskia?
Mr Miller naeza kuwa mume mwenza tu kama hatojali maana nilivyo na wivu lazima nichunge hamna kuchekupa zaidi yanguunamjua Mr Miller au unamskia?
Its easy,catch a grenade for her,hahah sijui nikuite huku nai ndo ufanye hio staff hapa,Nakupendaga hapa tu babe vile unanieleawaga hata sinaga namna nita prove upendo wangu kwako
Jamani babe lala basi jam ipungue hapa [emoji38][emoji38]Aseee bora nikalale nisije kufa humu kwa presha[emoji26]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe ya kwako yamekushinda ya shemejio utayaweza?Dada jamani hivi shemeji anatimiza majukumu yake kweli au turudishe posa [emoji52][emoji52]
Na bdo usiku wa manane ujaanza,tulia,ntakukeep companyAseee bora nikalale nisije kufa humu kwa presha[emoji26]
Nifungulie kule pls 1, time ... nilichotaka kusema ndio hikiWe mwenyewe ulikuwa mzembe, mtoto wa kiume unafumaniwaje kizembe namna ile aisee ulinitia aibu na mimi nikaona nikiruke mita mia
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji44]hahahah thats dope,uuuwi,hahah enyewe si humskia tu,hahah
Yani dada nimegundua hunipendi kabisa [emoji25][emoji25][emoji25][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe ya kwako yamekushinda ya shemejio utayaweza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Budaa ushawahi logwa? [emoji849]Na bdo usiku wa manane ujaanza,tulia,ntakukeep company
si kila mtu,si wengine hatuna,i think chaliifransisco ndo ako na watu[emoji12]Salaaale,humu leo naona kila mtu na mtuwe,sisi tunasema asie na mwana aelekee jiwe. Inauma sana.
Haaaa[emoji849][emoji849]siamin macho yangu unataka niondoke ubebishane vzrJamani babe lala basi jam ipungue hapa [emoji38][emoji38]