Unaeza umwa roho bila wivu hahahahMweeh
Wivu sina ila roho inauma
Babe. Nakumiss jamaniiMweeh
Wivu sina ila roho inauma
Mweeh
Wivu sina ila roho inauma




dada wa kigoma huchelewiNakumiss pia babeBabe. Nakumiss jamanii











Unakumbuka nilikwambia uwe mvumilivuMweeh
Wivu sina ila roho inauma
hahah bdo nashuku hio,lakini usijali,wanaume tuko wengi,uko njendioo

dada wa kigoma huchelewi
Tunakuibia bby wako huku

babe ndo ashaenda

Akhaa jamani babe ujue wewe ndio main stay babe wengine wanakuja after you so wewe ndio uko boss ladyNakumiss pia babe
Japo niko na mpango wa kukuacha na foleni yako![]()
Najitahidi wifi ila ndugu yako kazidi

Dada jamani hivi shemeji anatimiza majukumu yake kweli au turudishe posa

