Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,321
- 201,542
Amini unaweza kama unavyo amini NGUVU ukinywa supu ya pweza
Happy new yr sisyHello good people...happy belated new year wapendwa...nimewamis mnoooo
Trust all is well with you..,mimi hakika Mungu yu nami na ananipigania kila kukicha
Hakuna wa kulala APA mbona tuko machoHuu uzi unanihusu saa kumi hii niko macho, sasa mbona mmelala
3:31 am
Humu hujadiliwa chochote ambacho kitaletwa hapa ila lengo kuu ni kudumisha lindo