😁😁ushindani wa nn mkuu?Humu namuona mdada mmoja tu peke yake,sasa ushindani unakuwa mkubwa sanaaaa. Hii ni changa moto kubwa sana kwetu.
= Good politician [emoji16][emoji16][emoji16]Ni saa ngp huko kwny movie za kikokotoo?
"Create a problem,solve a problem=_________"
Sent using Jamii Forums mobile app
Una mapengo mazurii 😂😂😂
Naomba nikukule hizo lips..[emoji39] [emoji39] [emoji39]Una mapengo mazurii [emoji23][emoji23][emoji23]
Asubuhi sasa hivi? Uko mitaa ya wapi mwenzetu? Huku Mbagala mbona bado hata hatujalala?Asubuhi njema wapendwa
Niko mbagara kuu ni asubuhi now😁😁Asubuhi sasa hivi? Uko mitaa ya wapi mwenzetu? Huku Mbagala mbona bado usiku wa manane?
Mbagala kuu ni huko kwa akina Shinzo Abe na akina Kim?Niko mbagara kuu ni asubuhi now[emoji16][emoji16]