Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Ina maana hutuoni walinzi wenzio hapa? Tuandalie kahawa acha visingizio
nikiandaa nani atalinda lindo?
nikiandaa nani atalinda lindo?
Cheko lako linazichanganya hisia zangu ujue![]()
Kwani wewe ni mwanaume wa Dar?Usitake ni pigwe Mimi ,na uzee huu

Wee haya endelea tu kunitesa kwa cheko lakoHahahaha, Hahahaha ,duh
Wee haya endelea tu kunitesa kwa cheko lako
Kwani wewe ni mwanaume wa Dar?![]()
Sasa mwanaume wa mkoani utamwogopaje mwanaume mwenzio tena wa Dar?Hahahaha, hapana mie wa porini,ni mkorofi haswa ila sipendi ugomvi

Hahahaha, sijaogopa ila naheshimu MTU, HahahahaSasa mwanaume wa mkoani utamwogopaje mwanaume mwenzio tena wa Dar?![]()
Sasa mwanaume wa mkoani utamwogopaje mwanaume mwenzio tena wa Dar?![]()
Mimi niko jikoni nawaandalia walinzi wenzangu kahawa na kashataMmelala eeh,au mmelaliana ?
Mimi niko jikoni nawaandalia walinzi wenzangu kahawa na kashata
Ondoa shaka, nimeandaa ya wawili peke yetu,hivyo utapata hicho cha ziadaHahahaha, vzr sana,nasubiri na Mimi, nadhani yangu itakua na cha ziada ,sio 'libwata' ( joke) lkn Hahahaha

Ondoa shaka, nimeandaa ya wawili peke yetu,hivyo utapata hicho cha ziada![]()
Bado mapema Sana1:00
Nakufata PMLindo jema wapendwa
Pm tena?Nakufata PM