capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,267
safi kitambo kidogo ulifichwa wapiSijambo best, za wewe?
Mbona nipo best, sema tunapishana tusafi kitambo kidogo ulifichwa wapi
ahaa sijakuona kitambo ktk lile jukwaa la kumtafuta mshindiMbona nipo best, sema tunapishana tu
Asiyekubali kushindwa si mshindani, mi nishajitoa kwenye kinyang'anyiroahaa sijakuona kitambo ktk lile jukwaa la kumtafuta mshindi



Ulikimulika na mwanga mkali?kuna sehem nmekuta kavitz kamepaki apa kanatikisika balaa sijui kana nini, au kamewekwa vibration?
ha ha ha duuAsiyekubali kushindwa si mshindani, mi nishajitoa kwenye kinyang'anyiro![]()
kana tinted nzito, afu kamepaki kimagirini sana, kako on, kanaunguruma kua A/C linatumia nguvu, kuna jamaa kashuka, katoa kidumu kwenye buti, kaongeza mafuta, karudi tena ndani na kuendelea kutikisa gariUlikimulika na mwanga mkali?
Hii fursa kabisaSina niliyenaye, bado natafuta
Asiyekubali kushindwa si mshindani, mi nishajitoa kwenye kinyang'anyiro![]()
kana tinted nzito, afu kamepaki kimagirini sana, kako on, kanaunguruma kua A/C linatumia nguvu, kuna jamaa kashuka, katoa kidumu kwenye buti, kaongeza mafuta, karudi tena ndani na kuendelea kutikisa gari
Mwache aendelee kutikisaHii fursa kabisa
Hahahaha, safi Sana, utanipa mrejesho ,kila la kheriNgoja nifuate nyendo zake, Thad mambo
Usijali mkuuHahahaha, safi Sana, utanipa mrejesho ,kila la kheri