Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Haya banah sina neno kwako jirani, hata ungegoma kuomba msamaha kama bwana yule (mtoto pendwa) sina budi ningekusamehe tuu
Ndio maana Nakupenda sana jirani yangu.
Haya banah sina neno kwako jirani, hata ungegoma kuomba msamaha kama bwana yule (mtoto pendwa) sina budi ningekusamehe tuu
Mbona alitutafuta sana bila mafanikio ndio akawa anaskia uvivu kuingia hukuHa ha haa huyo mwingine apo hakustui au unamuonaga humu?
Doria huku ni usalama tu.Vizuri kwa hilo
Kwama tu sijui pande hizo?
Mhhhh sidhani banah mbona tumewasiliana kama sio jana ni juziSizani kama ni kutuona mana tungeona japo harufu yake kapigwa pini
Usiku mwingi au mapema tu?Mhhhh sidhani banah mbona tumewasiliana kama sio jana ni juzi
Vizuri kama salamaDoria huku ni usalama tu.
Iceman mara ya mwisho kama 2 weeks ndio nikapotea jf nimerudi naona kimya.
Iceman 3D tulipishana sana maana niliwahi kuondoka.Vizuri kama salama
Hajakuachia ujumbe wowote kupotea kwake?
MchanaUsiku mwingi au mapema tu?
Mchana sawa usiku hatumpate huku labda kupita tuMchana
Kasema haji mpaka tuwepoMchana sawa usiku hatumpate huku labda kupita tu


KabisaWengine tunaamka,
wengine usiku mnene
Wengine tunaamka,
wengine usiku mnene
Ahaa basi sawaKasema haji mpaka tuwepo![]()
Ohoooo haya sasa ngoja namii nikuacheni mpambane na hali zenu




KwaheriOhoooo haya sasa ngoja namii nikuacheni mpambane na hali zenu



(kichwa kichafu)