Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Bola mmeishia pamoja kwa herini
Nadhani tuondoke wote tuu jirani mie mwenyewe hali mbaya
Bola mmeishia pamoja kwa herini
Nadhani tuondoke wote tuu jirani mie mwenyewe hali mbaya
Nawee pia njozi njemaKwaheri
Na usiku mwema
Sawa jirani yangu twende.
Nadhani tuondoke wote tuu jirani mie mwenyewe hali mbaya
Wengine ndo kwanza saa kumi dkk 45 jioni ya tarehe 9/8
Ndio mkuu kesho tena mida hii.(kichwa kichafu)
Huko marekani au wap?Wengine ndo kwanza saa kumi dkk 45 jioni ya tarehe 9/8

Tukupe dawa halafu hapa iweje?Dah kumbe sipo peke yangu haka kaugonjwa ka kukata usingiz nyt kananisumbua Sana wakuu naomba dawa jaman
Sent using Jamii Forums mobile app