Am an expert mkuu...see clearly![]()
Nimeona wewe mkongwe humu.....
Am an expert mkuu...see clearly![]()
Naam...ni katika harakati tuu za kumsaka saa8,.
SwadaktaNimeona wewe mkongwe humu.....
Kawaida sanaaa chief,.Kumsaka saa8 unamaanisha saanane yule mwana siasa sio ?
Una kazi sana bibie.....
Swadakta
Kama vipi tuchape-ilale ama ninii??Humu naona kama tumewahi sana kuingia lindoni,wakubwa watakua wana tuchora tu humi,kama tuko mimi na wewe sio bibie ?
Kama vipi tuchape-ilale ama ninii??
Anakuja,.yuko njiani!!!!Tuchape ilale twende wapi bibie ? Mimi nina biashara zangu humu....... Kuna mwanamke mmoja namvizia humu.....
Anakuja,.yuko njiani!!!!
Anakuja,.yuko njiani!!!!
Yuleeeeee anaongea na mlizi getini...Umemuona maeneo gani ?
Yuleeeeee anaongea na mlizi getini...
Hujamuona vizuri,..ngojea usiwe na pupa...Sio huyo.....
Hujamuona vizuri,..ngojea usiwe na pupa...