JamiiForums Usiku wa manane
Usingizi umekata toka saa tisa mpk mida hii nimejaribu kulala nimeshindwa nasoma soma post tu huku JF kukuche niwahi kibaruani.
 
Thanks mkuu ni tabu kwa kweli hii hali imekuwa ikinitokea sana, mara baada ya kurudi toka masomoni China sasa sijui ndiyo adoption yenyewe au vp, maana China iko mbele kwa masaa matano ukilinganisha na bongo.
Mara nyingi inakuwa ivyo kwa wanafunz wanapomaliza masomo yao au wakat wa likizo. Ila itaisha baada ya muda mfupi. Me kwangu imekuwa kama jambo la kawaida. Sipendi ila najikuta nimeshtuka na kulala hapo ndy bhas tena. Hope inamwisho hii hali
 
Back
Top Bottom