Sikia fanya kama nilivyokwambia halafu humu tumebaki mimi na wewe kwa sasa.Huna la kufanya..nimeita bodaboda nasepa sasa hivi
Sikia fanya kama nilivyokwambia halafu humu tumebaki mimi na wewe kwa sasa.Huna la kufanya..nimeita bodaboda nasepa sasa hivi
Aah sipiti gizani..acha nisubiri boda inifuate hapahapaHumu viongozi kama vile wamesinzia,wewe pita kusini mimi nipite mashariki tukitane kusini mashariki tusepe japokuwa hutaki ila jikaze tu,kwani kila siku.....
Ohoooooo !Nipona msindikiza mpaka ni hakikishe amelala
Huoni kuna watu huko kibao,wewe pita mimi utanikuta kwa juu hapa....iAah sipiti gizani..acha nisubiri boda inifuate hapahapa
Haha unajidanganya kuna mtu kaingia muda si mrefuSikia fanya kama nilivyokwambia halafu humu tumebaki mimi na wewe kwa sasa.
Nani tena huyo ?Haha unajidanganya kuna mtu kaingia muda si mrefu
Kwahapa hakuna Mtu we tangulia tutaonana keshoHuoni kuna watu huko kibao,wewe pita mimi utanikuta kwa juu hapa....i
Salama@Yna2 mama salama
@donkere91Nani tena huyo ?
Kwani mkuu wanaume tunaochat tumekosa niniNawaza kwa sauti wanawake wanaochat sasa hv wamekosa nn zaid
Kwani mkuu wanaume tunaochat tumekosa nini
Vp wadada/wanawake hawawezi fanya hizo kazi?Labda walizi au wauza maduka au chip's usiku
Vp wadada/wanawake hawawezi fanya hizo kazi?
Wanafanya ila sio usiku kama huu mkuu