JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Unatoroka ujue..utanipa msala Mimi..nitajulikana nimekutorosha
Hapana nasema hivi,viongozi eeh,huyu bibie hajanitorosha naondoka mwenyewe nina dharura za kisheria.

Ondoa shaka,bila shaka wamesikia au nikusubiri,ukakabidhi silaha hizo fasta tuyeye ?
 
Mimi nimeshakabidhi muda sana..namsubiri Thad aniletee koti langu
 
Back
Top Bottom