Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Naona unatumia tafsida.Teeeh hyo mimba umebeba lini tena? Ile ya kwanza umetoa au
Naona unatumia tafsida.Teeeh hyo mimba umebeba lini tena? Ile ya kwanza umetoa au
Inna anahamasishaLindoni leo watu nyomi sijui kuna nini
Janeth wangu hajambo
Nipo naeUmemficha wapi?
Mpk sahv unavuta sigara?
Lindoni leo watu nyomi sijui kuna nini
Nipo nae
Kashalala, pameanza kupoaInna anahamasisha
Unakaribia kuponaNiliacha kwa sababu sikuona utamu wake, ila kuna muda naweza vuta, sema kesho yake nateseka sana kutema mate.
Mwaka huu nimevuta mara 3.
Kila mtu analinda eneo lakeMuda wa lindo bado, huu muda cha wrote
Nilale nitarudi mida ukifikaMuda wa lindo bado, huu muda cha wrote
Soma vizuri sentence yangu haina ulizoMbona unaniuliza kama hajambo?
Unakaribia kupona
Ohoooo !Wapi my Thad wangu?
Klop kaharibu lindo.
Abeee
Anahamasisha huku ameukalia hapaInna anahamasisha