Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Teeeh hyo mimba umebeba lini tena? Ile ya kwanza umetoa auMimba changa siku zote inasumbua babe
Teeeh hyo mimba umebeba lini tena? Ile ya kwanza umetoa auMimba changa siku zote inasumbua babe
Liverpool yangu Mama.Rafiki miss you...nin mbaya
Miss you too rafiki.Rafiki miss you...nin mbaya
Hahaha, karibuUsiku wetu
ImefanyajeLiverpool yangu Mama.
Ahsante mkuu nimekaribisHahaha, karibu
Wadau mnapenda chura utafikiri inamaliza njaa vile,ile fahari ya macho bro. Halafu wenye chura wengi wazito sana kwenye mambk yetu.Chura iko?
Thad mda huu anabebishwaa..we lala tuMuite Thad mwambie aje haraka.
Uzuri ni kuwa unamjua!Uyo kizee ana matatizo
Klop kaharibu lindo.Lindo lipo hapa na mbembezz za kutosha...piga kambi
Unasema ?Thad mda huu anabebishwaa..we lala tu
Lindoni leo watu nyomi sijui kuna niniAhsante mkuu nimekaribis
Aha hapo ndoo kwenyewe kabisa ngoja nikae mkao mzuriZungushaaa....!
Agiza kama tulivo utaelewa vizuri
Ndio huuHakuna usiku mbaya
Janeth wangu hajamboWe kijana upo!
Ok....itabidi unipe changu cha udalali.
Klop ni naniKlop kaharibu lindo.
HahahahahahahahaWadau mnapenda chura utafikiri inamaliza njaa vile,ile fahari ya macho bro. Halafu wenye chura wengi wazito sana kwenye mambk yetu.
Msininukuu vibaya aisee.....
Harufu ya pilau inasaidia kuongeza njaa.Wadau mnapenda chura utafikiri inamaliza njaa vile,ile fahari ya macho bro. Halafu wenye chura wengi wazito sana kwenye mambk yetu.
Msininukuu vibaya aisee.....