Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Ahaa sio kulinda tena?Huu muda wa kuchombezana na mitongozo ya hapa na pale.......
Narudi.....
Ahaa sio kulinda tena?Huu muda wa kuchombezana na mitongozo ya hapa na pale.......
Narudi.....
Jamani wifiìiiiiOooh! Siri za ndani hizi Madam![]()
Hilo neno la mwisho ni neno gani?Ha haa haaa, hicho cha wanyama
Sawa.@thad ni mkarim, halafu anajituma!
Kwakweli tuli-enjoy....
Kulinda usiku wa manane.... Huu ni muda wa vuta ni kuvute na wa wasaka tonge. Ukizubaa tu imekula kwako.Ahaa sio kulinda tena?
Rudia sentesi yako kwa kigogoMida hii hapa ndio pana husika
Mambo bebYaan mpya nyingi..ila pamoja nafurahi kuwaona genge halikusinzia
Haswaaa, kwanza mpaka tuliacha kuhesabu



Usiwatamanishe watu sasa. Oooh utaibiwaNisha wahi mapema tu mbonaChukua nafasi
Hiyo ni mimi tu, maana siyo kwa ukarim huoHivi ulisema hizo za kila weekend itakuwa kwa hisani ya kina nani vile?![]()
Mbona unamtishia kiongoziKulinda usiku wa manane.... Huu ni muda wa vuta ni kuvute na wa wasaka tonge. Ukizubaa tu imekula kwako.
Wewe uliza utaambiwa.
Bora ulivyomkumbusha mtu wako aisee.....Usiwatamanishe watu sasa. Oooh utaibiwa
Kinga bora kuliko tiba bro.Mbona unamtishia kiongozi
Hapo sawaHiyo ni mimi tu, maana siyo kwa ukarim huo
Dada hujakosea kuniunganisha na huyu bibie!Sawa.
Basi vizuri
You aint,Am here to stay!
Usiwatamanishe watu sasa. Oooh utaibiwa