Basi acha nikukaribishe kwa basha basha tena kwa mara nyingine,bila shaka umekuta sura mpya kama zetu sio,kwazo hukuzidiriki hapo kabla.Sio wapya tulikuepogo tukawa likizo ndo tumerudi
Narudi.....
Basi acha nikukaribishe kwa basha basha tena kwa mara nyingine,bila shaka umekuta sura mpya kama zetu sio,kwazo hukuzidiriki hapo kabla.Sio wapya tulikuepogo tukawa likizo ndo tumerudi
Oooh! Siri za ndani hizi MadamUlimpiga vingapi?

Kipo hapo nyuma ya hili jengo tunalolinda
Mida hii hapa ndio pana husikaSio nkuhungu?
Uchokozi gani tena jamani?Umeanza uchokoziii
Lindo bado bro,watu wanafanya maandalizi ya hapa na pale.......Naona mko bize na lindo
Asante kushukuru. Hakika shukrani za dhati ziwafikie wadhamini wetu hao
![]()
Yaan mpya nyingi..ila pamoja nafurahi kuwaona genge halikusinziaBasi acha nikukaribishe kwa basha basha tena kwa mara nyingine,bila shaka umekuta sura mpya kama zetu sio,kwazo hukuzidiriki hapo kabla.
Narudi.....
Kipo hapo pembeni ya barabara
Hivi ulisema hizo za kila weekend itakuwa kwa hisani ya kina nani vile?Kwasasa itakuwa kila weekend kama tulivokubaliana

Kumbe mh ngoja nifunge mkanda kama nitawezaLindo bado bro,watu wanafanya maandalizi ya hapa na pale.......
Chukua nafasiNaona mko bize na lindo
Tuitie dingi mtotoYaan mpya nyingi..ila pamoja nafurahi kuwaona genge halikusinzia
@thad ni mkarim, halafu anajituma!Ulimpiga vingapi?
Ila siku hizi kuna muda wa kuwindana na wakulinda. Wamekwambia wenzako ?Yaan mpya nyingi..ila pamoja nafurahi kuwaona genge halikusinzia
Hapana ..ndo inakuajeIla siku hizi kuna muda wa kuwindana na wakulinda. Wamekwambia wenzako ?
Huu muda wa kuchombezana na mitongozo ya hapa na pale.......Hapana ..ndo inakuaje
Haswaaa, kwanza mpaka tuliacha kuhesabuOooh! Siri za ndani hizi Madam![]()