fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,256
- 3,889
bado mudaAmkeni Tuswali jamani.
bado mudaAmkeni Tuswali jamani.
Amkeni Tuswali jamani.
huwezi kulala kwa hilo CigarHatujalala...
huwezi kulala kwa hilo Cigar
poa mkuu nyingine zinakuaga na kauhalisia fulani hiviHiyo ni avatar tu mkuu, hazinaga uhalisia.
poa mkuu nyingine zinakuaga na kauhalisia fulani hivi
ha ha ha nimekupata mkuu ila ndio uhisiano wenyewe huo na hiyo AvatarNi kweli, moja ya vitu vilisababisha nijifunze kuvuta ni picha ya Bob Marley akiwa ameshika sigara kati kati ya vidole.
Lile pozi mpaka leo ni best kwangu, so kwenye kutafuta avatar sikuipata ile.
ha ha ha nimekupata mkuu ila ndio uhisiano wenyewe huo na hiyo Avatar
pamoja mkuu mzee wangu alikua anavuta kwa siku hata pakti mbili ila alivyokuja kuacha ni aliamua tu sigara basi bila kushauriwa na daktari wala nini now ana miaka 10 toka aacheKwa mbali sana, ila nilishaachaga hayo makitu, siku hizi naweza vuta mara moja kwa miezi kadhaa.
Hasa nikiwa nimewaka sana, sana.
bado kidogo mkuuMkapumzike sasa jua limezama kwa wale wa vice versa!
pamoja mkuu mzee wangu alikua anavuta kwa siku hata pakti mbili ila alivyokuja kuacha ni aliamua tu sigara basi bila kushauriwa na daktari wala nini now ana miaka 10 toka aache
ha ha ha primary ulikua unakula fegi kwa kushea na mzee ila huwenda mzee mapenzi yalizidi kwa wanaweUkiona unaweza kufanya maamuzi ya kuacha kwenye issue za vilevi inakuwa ni safi sana.
Mzee wangu alikuwa anaweza kuja na pakti ya sigara, akavuta moja tu, zingine tunazimaliza sisi na wala haulizi (hapo ni primary).
Yule mdingi sijui alikuwa anatutakia nini dah!
ha ha ha primary ulikua unakula fegi kwa kushea na mzee ila huwenda mzee mapenzi yalizidi kwa wanawe
hahahaMasuala ya kuchat humu halaf kumbe upo uchi n dalili za uchawi na dharau, shenz

