Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,837
Kwani mapacha wanapatikana kwa kulala na mtu?Hahahaha mapacha tena mbegu unatoa wapi umesema huna wa kulala nae
Kwani mapacha wanapatikana kwa kulala na mtu?Hahahaha mapacha tena mbegu unatoa wapi umesema huna wa kulala nae
Unakwenda kupika nini?Wuuii haya nami wacha nielekee jikoni kwangu
Kumbe wanapatikanaje ee em nipe darasaKwani mapacha wanapatikana kwa kulala na mtu?
Uji bhana nyie wanyantuzu mmezoea maugali hata asubuhUnakwenda kupika nini?
Kama ni ugali sema Wanyantuzu tusogee [emoji16][emoji16][emoji16]
Unakula ugali wa uhakika asubuhi ndo unakwenda kuchunga ohooo. Uji ukikojoa mara moja tu hakuna kitu [emoji16][emoji16][emoji16]Uji bhana nyie wanyantuzu mmezoea maugali hata asubuh
Ndo maana mnakimbiwa na waremboUnakula ugali wa uhakika asubuhi ndo unakwenda kuchunga ohooo !!!
Yawezekana aisee [emoji16][emoji16][emoji16]Ndo maana mnakimbiwa na warembo
Amina nawe piaYawezekana aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Naona kumeshakucha. Na sisi inabidi tuachie lindo sasa. Kawe na siku njema aisee na Mungu Akubariki sana pamoja na wapendwa wako. Mi ndo nimeshaaga hivyo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
😉😉Aisee Nakuona mother confess
Geti lishafungwa head,.tukutane kijiweni mida-mida ama nenee😉
Usingizi hauna mbabehawezi kulala sasa hivi namfaham vizuri😀
nitakupa jibu Leo usiku wa manane...Unatatua vipi hilo tatizo
wapo wanawake humu hujui tu.. ...Nimebakia wa kike mwenyewe naona aibu
Wkend wamechoka...Lindoozzz,
Wamechoka wengine wako nyumba ya jirani,Wkend wamechoka...