Pole mpendwa. ..pumzika sasaJamani mbona tunasumbuana hivi? Aaah[emoji53][emoji53][emoji53]
hawezi kulala sasa hivi namfaham vizuri😀Ameshalala
Atakuja kesho nyumbanihaya mwambie aje akuchukue hapa
Asante, hivi wewe hulalagi kabisa? Au huko uliko ndo kushakucha tayari?Pole mpendwa. ..pumzika sasa
Sio sisi tuna makelele, bali wewe ndo umelala, ukisema sisi tuna makelele ni kama kuilalamikia treni ikipita kwenye reli yakeMna makelele leo mpaka basi, aaah![emoji53]
Ni kweli wamekuamsha au umemaliza kutimiza majukumu mengine ya usiku sasa unajipumzisha urudi tena kulala?Mna makelele leo mpaka basi, aaah![emoji53]
Nishamweka kitandani kitambohawezi kulala sasa hivi namfaham vizuri😀
Hakuna kulalaa...Jamani mbona tunasumbuana hivi? Aaah[emoji53][emoji53][emoji53]
Sijambo, uko poa?teh teh teh hili tabasamu kwa uwepo wako uko poa we
pamoja na mbwembwe zote hizi alizokuja nazo kumbe anaenda kuchojoa anarudi kulalaThad kaamka anaenda jojoa
Kuna vile vikopo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Naogopa kutoka nje peke yangu, njoo unisindikize[emoji6]
Napenda mialiko km hii [emoji18][emoji18][emoji18]Naogopa kutoka nje peke yangu, njoo unisindikize[emoji6]
Leo nalipiza utoro wa wiki nzimaAsante, hivi wewe hulalagi kabisa? Au huko uliko ndo kushakucha tayari?
hahaha una bahati umekuja mwenyewe maana nilitaka kuingia chumbani kwako na maji ya baridiJamani mbona tunasumbuana hivi? Aaah[emoji53][emoji53][emoji53]
😀😀😀 lala mkuuha ha ha,lakini kukesha hivi tunaingiza kiasi gani?Ni dhambi kutesa hekalu la mungu.....ngoja nikalale
Kuna vile vikopo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
namsubiriAtakuja kesho nyumbani