amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,298
Karibu, mimi mwenyewe ndo nimeamka hapa sidhani kama ntalala.Ndio nimeamka,hodi humu...
Karibu, mimi mwenyewe ndo nimeamka hapa sidhani kama ntalala.Ndio nimeamka,hodi humu...
Hatulali hatuna usingizi unaamuaje sasa?02:54
Laleni
Safi.Karibu, mimi mwenyewe ndo nimeamka hapa sidhani kama ntalala.
Za siku?Safi.
Huyu huwa yupo background km antivirus
Swalama upo ?Za siku?
Kunywa majiKahawa imeisha, [emoji26]
Nimeswich valeur nayo kiporo inaisha, maji sio mazuri hayaleweshiiKunywa maji
NipoSwalama upo ?
maji yanakufanya ung'areNimeswich valeur nayo kiporo inaisha, maji sio mazuri hayaleweshii
yap km kawaNaona walinzi wanalindana
Wewe hujazima tu?Naona walinzi wanalindana
Upo na miminipo na nani humu