Viumbe gani hao?[emoji848]Hahaha unaogopa kulala wuuiii nmecheka hawa viumbe wa Mungu humu ndani si wanakoroma wenyewe tu
Mhh si hawa akina shimba..hivi mnyantuzu kafia wapiViumbe gani hao?[emoji848]
[emoji3][emoji3][emoji3]Mi sijaamka nlikua najigeuza tu mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hujakosea chief, tena kaamka kichimba dawa huyu
Mnyantuzu kanishindwa sasa hivi hatupikwi chungu kimoja, nikiingia yeye anatoka nikitoka yeye anaingiaMhh si hawa akina shimba..hivi mnyantuzu kafia wapi
Nangoja muda ifike nianze hekaheka zangu za kukoleza moto nipike uji wa wateja zangu[emoji3][emoji3][emoji3]
Mwanamke una nini wewe lakiniMnyantuzu kanishindwa sasa hivi hatupikwi chungu kimoja, nikiingia yeye anatoka nikitoka yeye anaingia
Nangoja muda ifike nianze hekaheka zangu za kukoleza moto nipike uji wa wateja zangu
Usiwaze unatumia mihogo au gimbiUkiiva uniletee themosi moja hapa, maana sio kwa njaa hii niliyonayo
Mwanamke una nini wewe lakini
AseeeeUkiiva uniletee themosi moja hapa, maana sio kwa njaa hii niliyonayo
Usiwaze unatumia mihogo au gimbi
Hahhaha utakua kuna kitu unawafanyaMimi mwenyewe nashangaa sijui kwanini wananikimbia hawa viumbe
Vipi kiongozi?[emoji23]Aseeee
Hahahaha mapacha tena mbegu unatoa wapi umesema huna wa kulala naeNiletee gimbi ili nizae mapacha
Tumekosa nini tena sisi wapole hivi tusio na makuu?Mhh si hawa akina shimba..hivi mnyantuzu kafia wapi