Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,838
Hapa yupo mmoja hajapata mteja[emoji1]
Anaenda kwa tsh 30000 tu[/QUOTE
ndio tunaserebuka njee hapaa [emoji1739]Walinzi usingizi ukiwajia basi mnasimama na kunyosha miguu kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 880834
hapana... siko kihivyoMacho yatakuwa mekundu na kuvimba kama yanataka kuachana na kichwa
Mimi nipo mkuu. Ni kujifanya tu lakini kama mnara unasoma 5G haya mambo hayakwepeki [emoji16][emoji16][emoji16]nikataka kushangaa leo wazee mnaenda kimya kimya hata matangazoo big up shimba ya buyenzee umetuokoa mashabiki njee hukuu
Ni hii baridi ni balaaNdio maana hulali. ...XY haziachani. ...
Pole sanaNi hii baridi ni balaa
Walinzi oyeeeeee,tunawapa kampani ya kukesha na nyie;msijisahau mkashindwa majukumu yenundio tunaserebuka njee hapaa [emoji1739]
Unakwenda wapi tena? Ukiondoka hapatanoga [emoji24][emoji24][emoji24]Naomba udhuru msimamizi wa Lindo
hapana... siko kihivyo
Nimebakia wa kike mwenyewe naona aibuUnakwenda wapi tena? Ukiondoka hapatanoga [emoji24][emoji24][emoji24]
diiiih fenesi si fenesi boga si boga Muumba huyuuMimi nipo mkuu. Ni kujifanya tu lakini kama mnara unasoma 5G haya mambo hayakwepeki [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 880839
mimi mlinzi wa asubuhi ndio nimeamkaa hapaaWalinzi oyeeeeee,tunawapa kampani ya kukesha na nyie;msijisahau mkashindwa majukumu yenu
Huwa hawachambi mkuu, kwanza hawanyi, ile kitu inatumika kwa kazi zingine za tofautiKufua? Hata kuchamba tu ni ishu [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 880831
samee hilo deni mkuu,hujalikatia bima?Basi. ...mwache atakuja mwenyewe. ....
Aibu ya nini bana enzi na zama hizi? Pengine huko uliko wala siyo usiku kivile. Huku kwangu kwa mfano bdo inagonga saa 12 na dk 28 jioni. Bakia bakia bana !!!Nimebakia wa kike mwenyewe naona aibu