Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
PM ndo nini lakini mbona kila mtu anaizungumzia
Thad PM iko wazi [emoji39][emoji39][emoji39]
Thad PM iko wazi [emoji39][emoji39][emoji39]
Si ajabu ndugu yangu huyo. Hebu nitonye nimfahamu. Wanyantuzu aka Wasukuma wajanja [emoji16][emoji16][emoji2221]Mnyantuzu kanishindwa sasa hivi hatupikwi chungu kimoja, nikiingia yeye anatoka nikitoka yeye anaingia
Hata siwafanyi kitu, wananikimbia bila sababu[emoji23]Hahhaha utakua kuna kitu unawafanya
Thad anasema hana wa kulala nae na anaogopa kulala mwenzyewe mnaruhusu vipi hili litokeeTumekosa nini tena sisi wapole hivi tusio na makuu?
[emoji23] [emoji23]Hata siwafanyi kitu, wananikimbia bila sababu[emoji23]
Hahahaha mapacha tena mbegu unatoa wapi umesema huna wa kulala nae
Ni ya kweli. Utafiti mpya kabisaaa. John Hopkins wanasema cause na effect bado hazijawa established waziwazi ila ukweli ni kwamba watu wasiopata usingizi wa kutosha wana prevalence kubwa ya kansa...Mungu wangu! Yakweli haya? Basi tufunge huu uzi tusije tukafa kwa saratani
Tumekosa nini tena sisi wapole hivi tusio na makuu?
Hahahaha hatari na nusuu[emoji108] [emoji108]Nitaenda kununua China
Wacha tufe tuNi ya kweli. Utafiti mpya kabisaaa. John Hopkins wanasema cause na effect bado hazijawa established waziwazi ila ukweli ni kwamba watu wasiopata usingizi wa kutosha wana prevalence kubwa ya kansa...
Ni ya kweli. Utafiti mpya kabisaaa. John Hopkins wanasema cause na effect bado hazijawa established waziwazi ila ukweli ni kwamba watu wasiopata usingizi wa kutosha wana prevalence kubwa ya kansa...
Wacha tufe tu
Maisha matamu eee utamu wake nn sasaMimi siko tayari kufa, maisha yalivyo matamu hivi
Wuuii haya nami wacha nielekee jikoni kwanguJamani azana ishalia ngoja nijiandae kwa swala! Tutaonana baadae
Kifo hakikwepeki ati !!!Wacha tufe tu
Anasema hataki Wanyantuzu. Sisi Wanyantuzu hapo hatuna lawama kabisa.Thad anasema hana wa kulala nae na anaogopa kulala mwenzyewe mnaruhusu vipi hili litokee
Tena orijino kabisa Simiyu ndani kwa RC nambari wani Bongo [emoji16][emoji16][emoji16]Oooh! Kumbe na wewe ni mnyantuzu?
"Kufa kwa hakika mtakufa." Mungu Alitamka [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mimi siko tayari kufa, maisha yalivyo matamu hivi
Mkaoge maji ya bahari tu hapo sasaAnasema hataki Wanyantuzu. Sisi Wanyantuzu hapo hatuna lawama kabisa.