Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 2,174
- 2,264
aisee kakaa wewe waache haoo yani naongea kwa sauti ya chinichini.ila ya msisitizo wa south africa ni kama tani moja ya pickup hako kamzigo kwa macho kameshiba kunyanyua shidaaMpaka kuna studies kabisa za Anthropology kuwahusu hao wanawake wa Kizulu na Kixhosa. Sarah Baartman alileta msisimko sana na watu wakataka kujua ni kwa nini wanawake wa huko wanakuwa na maumbile ya aina hiyo.
View attachment 880847