Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,082
- 62,001
Ha ha ha ha wanadumisha ndoa mkuuWamechoka wengine wako nyumba ya jirani,
Ha ha ha ha wanadumisha ndoa mkuuWamechoka wengine wako nyumba ya jirani,
Fungua leo hadi saa 9Da Vinc kaharibu utaratibu, haya geti nimefungua mapema si mnajua weekend?
Na kwa kweli striking force ya R. Madrid ni butu. Butu kabisa. Unamtegemea Asensio akufungie magoli. The bad night kwao.Santiago Bernabeu was chanting "RONALDO" baada ya kuona striking force yao iko butu dhidi ya Atletico Madrid
[emoji16][emoji16][emoji16]Na kwa kweli striking force ya R. Madrid ni butu. Butu kabisa. Unamtegemea Asensio akufungie magoli. The bad night kwao.
Mimi sijui nalala sangapikukesha ni ugonjwa...kama unatatizo hilo muone daktari
Mtoto halali na helaFungua leo hadi saa 9
ha ha haMimi sijui nalala sangapi
karibuNdio nimeamka,hodi humu...