Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Asante...mda wa kahawa huuhapo sawa karibu chai
Asante...mda wa kahawa huuhapo sawa karibu chai
basi naja hukoAsante...mda wa kahawa huu
basi naja huko maana kahawa huku sinaAsante...mda wa kahawa huu
Hoja gani hiyounayoiunga wakati kumekucha?
Mkuu, nipo humu kuanzia saa tisa...Hoja gani hiyounayoiunga wakati kumekucha?
Hongera kwa kutulindia japo ulikuwa unakimbiza mwizi kimya kimya......haya funga geti kabla wale mamluki hawajavamia uzi!


Bado dakika 12 ili tufunge lindo rasmi...Hongera kwa kutulindia japo ulikuwa unakimbiza mwizi kimya kimya......haya funga geti kabla wale mamluki hawajavamia uzi!![]()
Nakuaminia kamanda bila shaka ukishalifunga geti hakuna atakayediriki kuingia tena mpaka muda wetu wa kazi ufike!
Bado dakika 7Nakuaminia kamanda bila shaka ukishalifunga geti hakuna atakayediriki kuingia tena mpaka muda wetu wa kazi ufike!