Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,453
Niko nyuma lisaa lizima ,so nyie amkeni mkakojoe
Hii mbona inogile mpaka monrningiiWote mmelala? Usingizi umeisha hakuna humu wa kupiga nae story? SAA 03:39

Ooooi ooooi mkuu,umeadimika dogo.Ooooiiii
Nenda PM Mkuu
Poa powa mkuuNenda PM Mkuu
Kwa tulio single muda wa kujiandaa na mazoezi tu ,mi push ups tuMuda wa "Morning glory" huu.
Kwema?Ahsante
Acha tu! Mida flan nilipata kahawa ile kali hapa ndio inanitesa.Hb wa kigogo uko makini sana,tutakuchagua kuwa mlinzi bora wa mwaka.