Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,302
night shift mkuuHata sielewi hua mnafanya nn usiku mpk mnatoboa asubuhi bila kulala!
night shift mkuuHata sielewi hua mnafanya nn usiku mpk mnatoboa asubuhi bila kulala!
Stress za kushinda Lindo mkuu.aisee
Hahaha[emoji23] hii kitu inahusiano mkubwa na usingiziTunajichua boss.
Hahah wa kupata au kukosa usingiz boss?Hahaha[emoji23] hii kitu inahusiano mkubwa na usingizi
Magimbi Unakula?Jamani njaa inaniuma, kama kuna alibakiza chakula naomba mnisaidie mwenzenu![emoji134]
MwanampotevuHodiiiiii
OoooiiiiHahah wa kupata au kukosa usingiz boss?
Muzuriiii kabisaHabari zenu jamani
Salama kabisa la madame Astelia, karibu gahawa.[emoji477] [emoji477]Habari zenu jamani
Nafurahi kusikia hivyoMuzuriiii kabisa
Asante nishakaribiaSalama kabisa la madame Astelia, karibu gahawa.[emoji477] [emoji477]
TupoKumepoa watu wamelala