JamiiForums Usiku wa manane
Bro! I am a crazy biyaitch.. They are just names.. Matter ov fact I don't give a... Anyway advice is under consideration..
aah usjali na mie nlikuwa nawaza tuu.
ujue dini ni hisia na hayo majina kwa dini ya kikristo yana symbolise Mungu mwenyewe, yaan hadi watu huyatumia kusali. so ili kuweka uvumilivu kwa watu wenye hisia nayo, ndio nikawa concerned

though uko free kuita vyovyote vile hii ni nchi huru na hujavunja sheria.
 
Back
Top Bottom