Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,831
[emoji23][emoji23]Hizi id mpya hizi watu watalizwa[emoji23]
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]Hizi id mpya hizi watu watalizwa[emoji23]
Ndio mkuu zikiwapata hua wanakesha na asubuhi wanaingia job
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizi id mpya hizi watu watalizwa[emoji23]
Mkuu umeona usiwape tabu uweke jina linaloeleweka kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
hiyo ni hatari sasaNdio mkuu zikiwapata hua wanakesha na asubuhi wanaingia job
Mnoo jiwe mwenyewe Anaamua aamke saa nane sababu anajua umuhimu wa kulalahiyo ni hatari sasa
tutapunguza stress vipi sijui sasa!!!Mnoo jiwe mwenyewe Anaamua aamke saa nane sababu anajua umuhimu wa kulala
Hawapi mimi ni mgeni kabisaaaaMkuu umeona usiwape tabu uweke jina linaloeleweka kabisa
Hawa watu wapo kila mahali wanatafta wenzao wakuwapoteza[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sikujua hawa watu tunao humu aisee[emoji23]
Tumewasha mpka chee.02:31
Acha tu ndg yangu,machalii wa R wanasemaga HAIKATAITumewasha mpka chee.
[emoji23] [emoji23] au vipi bro.Acha tu ndg yangu,machalii wa R wanasemaga HAIKATAI
Kama kawa mkuu.[emoji23] [emoji23] au vipi bro.
Kama jinsi ulivyosomeshwa wewe Mh mjumbe...Asante comrade, ingawa inauma sana roho kusomesha Mke na Mme wa mtu in future kwa fedha nyingi....[emoji30][emoji30][emoji30]